Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi kuelekea mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji yapo kwenye hatua nzuri.
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi kuelekea mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji yapo kwenye hatua nzuri.
Kkosi chetu kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili asubuhi baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC. Katika
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa New Amaan Complex Visiwani Zanzibar umemalizika kwa kuibuka na ushindi
Kocha Mkuu Fadlu Davids na kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua wamekabidhiwa tuzo za Ligi Kuu ya NBC walizoshinda mwezi Agosti. Wawili hao wamekabidhiwa tuzo
Leo saa 2:30 usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex Visiwani Zanzibar kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya
Baada ya kukamilisha mechi mbili za kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika leo saa 2:30 usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa New Amaan Complex tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu kutokana na ubora walionao wapinzani
Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo
Timu yetu ya Simba Queens kuanzia sasa itakuwa chini ya Kocha Mkuu, Yussif Basigi ambaye anachukua nafasi iliyoachwa na Juma Mgunda aliyemaliza mkataba wake.