Tumepoteza mbele ya Yanga Princess
Simba Queens imeshindwa kutinga fainali ya Ngao ya Jamii baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penati 3-4 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.
Simba Queens imeshindwa kutinga fainali ya Ngao ya Jamii baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penati 3-4 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.
Leo saa 10 jioni kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa nusu fainali ya
Baada ya kuonyesha kiwango safi tangu kuanza kwa msimu mlinzi wa kati Abdulrazack Hamza ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa
Kocha Msaidizi wa Simba Queens, Mussa Hassan Mgosi amesema wachezaji wapo tayari ajili ya kutetea taji lao la Ngao ya Jamii kwa kucheza dhidi
Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma baada ya jana kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Dodoma Jiji kwenye
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ulikuwa mgumu lakini amewapongeza wachezaji kwa kujituma muda wote. Kocha Fadlu amesema tulikuwa na
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji uliopigwa katika Uwanja wa Jamhuri umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja.
Leo saa 12:30 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jumhuri kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids
Leo saa 12:30 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia kwenye mchezo
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi kuelekea mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji yapo kwenye hatua nzuri.