Simba Sports Club
News

Zuchu apagawisha, ashuka na kamba angani

8 Aug 2022

Akiingia uwanjani hapo, Zuchu alishuka kwa kamba maalumu kutoka juu ya uwanja na kuamsha shangwe uwanja mzima wakimshangilia nyota huyo wa Bongo flava.

Kwa muda wote Zuchu aliotumbuiza uwanja haukutulia kwani mashabiki walikuwa wakishangilia wakiwa wamesimama huku wakicheza.

Advertisement
Back to homepage
Share this story