Simba Sports Club
News

Zimbwe Jr awaita mashabiki kwa Mkapa Kesho

9 Dec 2022

Zimbwe amesema hamasa za mashabiki uwanjani zinasaidia wachezaji kupambana kuhakikisha ushindi unapatikana.

Akizungumzia mchezo wenyewe Zimbwe amesema anaamini utakuwa mgumu wenye ushindani lakini tumejiandaa kikamilifu kuhakikisha tunashinda na kuvuka hatua inayofuata.

Advertisement

"Tunawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho waje watupe sapoti tunajua tunaenda kukutana na timu ngumu hata kama ipo daraja la chini," amesema Zimbwe Jr.

Back to homepage
Share this story