Zimbwe Jr amekuwa na msaada mkubwa kwenye kikosi chetu na pia ni mmoja ya wachezaji waliocheza dakika nyingi Uwanjani.
Moja ya sifa kubwa alliyonayo Zimbwe Jr ni uwezo wake wa kuzuia pamoja na kushambulia kwa wakati mmoja na hilo linawafanya makocha wanaokuja kikosini kwetu kumpa nafasi.
Advertisement
Kwa miaka mingi Zimbwe Jr amekuwa akijumuishwa kwenye kikosi bora cha msimu.