Wycliff anachukua nafasi ya Fareed Cassiem raia wa Afrika Kusini ambaye tumeachana nae mwezi uliopita.
Wycliffe ana leseni ya Sports Medicine kutoka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), leseni ya Physiotherapy kutoka Kenya Medical Training College.
Advertisement
Wycliff ambaye amewahi kufanya kazi na timu za Polisi FC, Mathare United pamoja na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' zote za Kenya.
Tayari Wycliff ameshajiunga na kambi ya timu iliopo nchini Uturuki.