Wincate raia wa Kenya mwenye miaka 24 ni mlinzi wa kushoto mwenye uwezo mkubwa wa kuzuia na kupandisha mashambulizi.
Pamoja na jukumu lake mama kuwa ni kuzuia lakini msimu uliopita Wincate amefunga mabao matatu.
Advertisement
Kutokana na umahiri wake huo msimu wa 2022/23 Wincate alichaguliwa kwenye kikosi bora cha msimu.
Tumedhamiria kusuka kikosi imara kwa ajili ya michuano ya ndani pamoja na ile ya Kimataifa.