Huu ni muendelezo wa kutangaza Utalii wa Zanzibar kupitia michuano ya Mapinduzi ambapo Kitengo cha Habari kimepanga kutembelea sehemu mbalimbali pamoja na kukutana na viongozi ili kutimiza azma tuliyojiwekea.
News
Videos
Waziri wa Biashara Zanzibar akabidhiwa jezi ya Mnyama
4 Jan 2024