Nyota hao ni mlinda mlango, Yakoub Suleiman mlinzi Wilson Nangu na kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma.
Wengine ni kiungo mshambuliaji Morice Abraham na mshambuliaji Seleman Mwalimu 'Gomez'.
Advertisement
Baada ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC nyota hao wataruhusiwa kujiunga na Taifa Stars ambayo itaingia kambini Oktoba 4.