Simba Sports Club
News

Watano waanza mazoezi na wenzao Misri

18 Jul 2022

Nyota hao waliwasili Misri saa tisa alfajiri wakapata mapumziko na jioni wamefanya mazoezi na wenzao chini ya kocha Zoran Maki.

Wachezaji hao ni mshambuliaji Moses Phiri, viungo Nassor Kapama, Peter Banda, Taddeo Lwanga na mlinzi Henock Inonga.

Advertisement

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi ambapo leo ni siku ya nne.

Back to homepage
Share this story