Simba Sports Club
News

Wanne waitwa Taifa Stars

13 Sep 2022

Taifa Stars itacheza mechi mbili ya nyumbani na ugenini dhidi ya Libya ambapo mchezo wa kwanza utakuwa Septemba 20.

Nyota hao ni walinda milango wawili Aishi Manula na Beno Kakolanya, kiungo mkabaji Mzamiru Yassin na mshambuliaji Habib Kyombo.

Advertisement

Stars itaingia kambini Jumamosi Septemba 18 tayari kuanza maandalizi ya mechi hizo ambazo husaidia nchi kupanda viwango vya FIFA kama ikifanya vizuri.

Back to homepage
Share this story