Taifa Stars itacheza na Algeria ugenini Septemba 7, katika mchezo huo muhimu ambao tunahitaji tupate alama.
Nyota hao ni mlinzi wa kati, Kennedy Juma kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin na washambuliaji John Bocco na Kibu Denis.
Advertisement
Nyota hao tayari wameruhusiwa kwenda kujiunga na kambi ya Stars tayari kuendelea na maandalizi ya mchezo huo.