Simba Sports Club
News

Wanasimba waendelea kupiga kura

29 Jan 2023

Zoezi hilo limeanza saa 10 jioni na linakadiriwa kuchukua saa mbili kutoka sasa kutokana na wingi wa wanachama waliojitokeza.

Baada ya kukamilika kwa zoezi la kupiga kura kutafuatia uhesabiaji na kabla ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi kutangaza matokeo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story