Nunua tiketi yako kupitia N Card ukiwa nyumbani ili kupunguza msongamano siku ya mchezo au nenda katika Vituo tulivyotangaza ambapo nako zinapatikana.
Tayari kuna tiketi ambazo zimeisha ambazo ni:
VIP A - Tsh. 40,000
Platinum - Tsh. 200,000
Tanzanite - Tsh. 250,000
Tiketi zilizobaki ni hizi za viingilio hivi:
Advertisement
Mzunguko - Tsh. 5,000
Machungwa - Tsh. 10,000
VIP C - Tsh. 20,000
VIP B - Tsh. 30,000
Wahi kununua tiketi yako mapema ili uwe sehemu ya historia ya kuisaidia Simba yako kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.