Simba Sports Club
News

Wanasimba tuendelee kununua tiketi

24 Mar 2024 By simbasc 794 views
Zimebaki siku tano kuelekea mchezo wetu wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Machi 29 Uwanja wa Benjamin Mkapa saa tatu usiku. Nunua tiketi yako kupitia N Card ukiwa nyumbani ili kupunguza msongamano siku ya mchezo au nenda katika Vituo tulivyotangaza ambapo nako zinapatikana. Tayari kuna tiketi ambazo zimeisha ambazo ni: VIP A - Tsh. 40,000 Platinum - Tsh. 200,000 Tanzanite - Tsh. 250,000 Tiketi zilizobaki ni hizi za viingilio hivi: Mzunguko - Tsh. 5,000 Machungwa - Tsh. 10,000 VIP C - Tsh. 20,000 VIP B - Tsh. 30,000 Wahi kununua tiketi yako mapema ili uwe sehemu ya historia ya kuisaidia Simba yako kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Advertisement
Back to homepage
Share this story