Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeweka utaratibu wa kila timu kufanyiwa vipimo hivyo ili kujikinga kama kutakuwa na aliyeathirika.
Majibu ya vipimo hivyo yatatolewa kesho katika kikao cha maandalizi ya mchezo (Pre match meeting) kama kanuni zinavyoelekeza.