Simba Sports Club
News

Viingilio Ngao ya Jamii vyatangazwa

10 Aug 2022 By simba 1,174 views
  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii kati yetu na watani wetu wa jadi Yanga. Mchezo huo ambao utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa utaanza saa moja usiku badala ya saa 11 jioni kama ilivyozoeleka. Mchezo huo ni wa kuashiria kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu ya NBC 2022/23 ambayo itaanza rasmi Agosti 17. Viingilio hivyo ni kama ifuatavyo; VIP A Sh. 30,000 VIP B Sh. 20,000 VIP C Sh. 15,000 Viti vya machungwa Sh. 7,000 Viti vya kijani Sh. 5,000
Advertisement
Back to homepage
Share this story