Simba Sports Club
News Videos

VIDEO:Kocha Mgunda azungumzia maandalizi ya mchezo dhidi ya Kagera

11 May 2024

Mgunda amesema utakuwa mchezo mgumu na tunawaheshimu Kagera kutokana na ubora walionao lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi.

Tazama video hii hadi mwisho mlinzi wa kati Hussein Kazi nae ameongea kwa niaba ya wachezaji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story