Ahmed amesema mashabiki wameonyesha mapenzi makubwa kwa timu na kuwafanya wachezaji wajihisi wana deni kubwa la kufanya kwenye mchezo wa kesho.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mchezo wenyewe huku akikiri utakuwa mgumu.