Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Zimbwe Jr awaita mashabiki kwa Mkapa Jumapili

14 Jan 2025

Zimbwe Jr amesema baada ya kufanikisha malengo ya kutinga robo fainali kilicho mbele yetu ni kushinda dhidi ya Constantine ili kuongoza kundi na mashabiki wote wana jukumu la kufanikisha hilo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Zimbwe Jr ameweka wazi kuwa wachezaji wapo tayari kupambana kuiona timu ikifika Fainali ya michuano hiyo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story