Zimbwe Jr amesema mchezo ulikuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani lakini wachezaji walipambana kwa muda wote kuhakikisha pointi tatu zinapatikana.
Tanzania video hii hadi mwisho Zimbwe Jr ameweka wazi kuwa kwa jinsi hali ilivyo hatupaswi kupoteza alama hata moja kwa sasa kwenye mechi zetu zilizobaki.