Zimbwe Jr amesema pamoja na yote yanayoendelea wachezaji wanaamini kila kitu kitabadilika na kurudi kwenye mstari amewaomba mashabiki wasivunjike moyo na waendelee kuisapoti timu.
Tazama video hii hadi mwisho Zimbwe Jr ametoleo mfano msimu uliopita kuwa hatukuanza vizuri michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini tulifanikiwa kufika robo fainali.