Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Zimbwe Jr asimulia uzoefu wake wa kucheza Derby ya Kariakoo

3 Nov 2023

Zimbwe Jr ambaye anashika rekodi ya kucheza mechi nyingi za Derby ambapo mpaka sasa amecheza 25 amesema wakati wowote tunapokutana na Yanga mchezo unakuwa mgumu.

Zimbwe Jr amefunguka mengi na ameelezea pia maandalizi ya mchezo wa Jumapili huku akuwatoa hofu mashabiki kuwa wajiandae kwakuwa furaha inakuja.

Advertisement
Back to homepage
Share this story