Zimbwe Jr amesema katika miaka minne tuliyochukua Ngao ya Jamii mfululizo pia tuliweza kutwaa mataji yote kama walivyofanya watani wetu misimu miwili iliyopita.
Tazama Video hii hadi mwisho Zimbwe Jr amezungumzia pia kuhusu furaha yake yakuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa mara nyingi Ngao akiwa na kikosi chetu.