Zimbwe Jr amesema Rais Samia amekuwa msaada mkubwa kwa Taifa Stars kupata ushindi na kutoa hamasa mbalimbali ndio maana anastahili ushindi wa leo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Zimbwe Jr amezungumzia furaha yake ya kuisaidia nchi kufuzu mara tatu huku akiwapongeza mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi uwanjani.