Zimbwe amesema mashabiki waliojitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Mwembeyanga viliongeza hamasa kwa wachezaji na walijiona kuwa na wana deni kubwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Zimbwe Jr amesema haikuwa rahisi kupata ushindi kutokana na jua kuwa kali sana.