Simba Sports Club
News

VIDEO: Zimbwe Jr afunguka kuhusu msimu wa 2022/23 ulivyokuwa

29 May 2023

Zimbwe Jr amesema kwa upande wao wachezaji walifanya kila kitu kuhakikisha tunafikia malengo hayo ingawa haikuwa riziki hivyo tunajipanga kwa msimu ujao.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kujua alichosema Zimbwe Jr kuhusu tuzo za Ligi Kuu ya NBC ambazo yeye anawania katika kipengele cha beki bora.

Advertisement
Back to homepage
Share this story