Simba Sports Club
News

VIDEO: Zimbwe Jr afunguka kuhusu maisha yake ya Soka, amtaja Mzozo

11 Jan 2023

Zimbwe Jr ameongea na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally kuwa baada ya kukutana Mzozo Friends Rangers akitokea Bom Bom alimpeleka Akademi ya Azam na baadae Kagera Sugar ambapo alionyesha uwezo mkubwa uliomfanya kusajiliwa Simba.

Fuatilia mahojiano yote ili kujua safari ya maisha ya soka ya Zimbwe Jr mpaka kufikia leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story