Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Zimbwe Jr afunguka juu ya Constantine

6 Dec 2024

Zimbwe Jr amesema sisi tumeshinda mechi ya kwanza kama wao kwahiyo kila mmoja atahitaji kushinda ili kukaa juu ya msimamo wa Ligi.

Tazama video hii hadi mwisho Zimbwe amezungumzia pia kuwa hali ya hewa haitakuwa kikwazo cha kushindwa kufanya vizuri.

Advertisement
Back to homepage
Share this story