Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Yakoub amesema hatukuwa na bahati

26 Oct 2025

Yakoub amesema wachezaji wamejitahidi kufuata maelekezo waliokuwa wakipewa na walimu ila siku ya leo jitihada zimegonga mwamba.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Yakoub amezungumza kwa ujumla jinsi mchezo ulivyokuwa

Advertisement
Back to homepage
Share this story