Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Waziri atoa pongezi kwa ubunifu wetu

10 Jan 2024

Mh. Hamza amesema Idara yetu ya Habari na Mawasiliano inayoongozwa na Ahmed Ally inafanya kazi na ndio maana imefanya klabu kupata tuzo ya mashabiki bora Afrika mwaka jana.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mh. Waziri ametupongeza pia kwa kuinua pato la Zanzibar kupitia Michezo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story