Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Wanasimba wameridhishwa na kiwango cha timu

8 Aug 2024

Ahmed amesema asilimia 80 ya wachezaji waliocheza Leo ni wageni na ndio wamecheza kwa mara ya kwanza Derby ya Kariakoo lakini wamepambana na wameonyesha uwezo mkubwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mchezo unaofuata dhidi ya Coastal Union pamoja na mipango ya msimu mpya wa Ligi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story