Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema baada ya kufungiwa kuingiza mashabiki kwenye mchezo huo Menejimeti ikishirikiana na Wadhamini Mo Cola wameandaa eneo hilo kukutana pamoja na kufurahia mchezo.
Tazama Video hii hadi mwisho Meneja Masoko wa A1 Fatema Dewji amesema kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii pamoja na zawadi kutoka Mo Cola.