Ahmed amesema pamoja na kuonekana kama mechi ingeisha kwa sare lakini wachezaji waliendelea kushambulia na waliamini chochote kinawezekana na ndicho kilichotokea.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia bao pekee lililofungwa na Steven Mukwala.