Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Wachezaji wazamani wafurahi kuthaminiwa na Uongozi wa klabu

7 Apr 2025

mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry utakaopigwa Jumatano Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Njovu amesema hata kwenye Ligi ya maveterani ambayo mzunguko wa pili utaanza wiki ijayo wamekuwa wakipata msaada mkubwa kutoka kwa Uongozi na mpaka sasa wanaongoza kundi kitu ambacho kinawafanya kujiona wanathamani kwa timu yao ambayo waliupigania kwa jasho.

Advertisement

Tazama video hii mwisho, Njovu ameweka wazi kuwa kama tutajitokeza mashabiki wengi kwenye mchezo wa Jumatano tuna asilimia kubwa ya kupindua meza na kufuzu nusu Fainali.

Back to homepage
Share this story