Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Wachezaji wapo kamili kuivaa ASEC

20 Feb 2024

Duchu amesema kila mchezaji anajua umuhimu wa kupata pointi tatu katika mchezo huo kwakuwa pointi tatu zitatuweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Duchu amezungumzia pia kitu ambacho wachezaji wanakifikiria kuelekea mchezo huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story