Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Wachezaji wana shauku ya ushindi dhidi ya KMC

6 Nov 2024

Ahmed amesema tumepata ushindi dhidi ya Tanzania Prisons, Namungo na Mashujaa hivyo wachezaji wana nia ya kushinda na mchezo wa leo pia.

Tazama mahojiano haya mpaka Mwisho kuna ujumbe, Ahmed ameutoa kwa mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story