Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Wachezaji wametimiza majukumu yao asilimia 100

16 Sep 2024

Ahmed amesema baada ya wachezaji kufanya hivyo mechi inayofuata ni ya mashabiki kutimiza majukumu yao kwa asilimia 100 na kujitokeza kwa wingi uwanjani kama walivyofanya wapinzani wetu jana ili kuongeza hamasa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu ratiba ya timu kurejea nchini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story