Simba Sports Club
News

VIDEO: Wachezaji waingia kwa Muziki Kambini

12 Jul 2023 By simbasc 289 views
Katika kuonyesha kufurahia mazingira mazuri ya kambi wachezaji wetu wameingia kwa kucheza nyimbo katika Hoteli tuliyofikia hapa Ankara nchini Uturuki. Tazama hadi mwisho kuona jinsi wachezaji walivyokuwa na furaha, Mzamiru anaonekana mpole lakini yumo, Inonga yeye hana mambo mengi.   https://youtu.be/KMZjK0u6kSs
Advertisement
Back to homepage
Share this story