Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Violeth na Corazone wazungumzia michuano ya CECAFA

13 Aug 2024

Wawili hao wamesema kikosi chetu kipo kwenye hali nzuri na wachezaji waliosajiliwa wamekuja kuongeza kitu kikubwa na watakuwa msaada mkubwa kwa timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho nyota hao wamezungumzia maandalizi kamili walivyopata hadi sasa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story