Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Valentino Mashaka aelezea safari yake ya maisha ya soka

30 Jul 2024

Mashaka kama ilivyokuwa kwa wachezaji wengi alikuwa na ndoto ya kucheza timu yetu na alipoambiwa tunamuhitaji usiku wake hakulala kwa furaha.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Mashaka azungumzia pia kuhusu kambi ya timu inayoendelea nchini Misri.

Advertisement
Back to homepage
Share this story