Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ushindi wampagiwisha Mh. Aweso, Awaongeza wachezaji milioni tano

9 Apr 2025

Mh. Aweso amesema furaha ya leo sio ya Simba peke yake bali Watanzania wote na sasa kilichopo sio kufikiria kufika fainali bali kutwaa taji lenyewe.

Tazama video hii hadi mwisho viongozi mbalimbali akiwemo Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu wametoa salamu za pongezi kwa benchi la ufundi wachezaji na mashabiki

Advertisement
Back to homepage
Share this story