Bi Zubeda amesema tunaendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha ulinzi na usalama unakuwa mzuri ili kila atakayekuja afurahi soka na kurejea nyumbani akiwa salama.
Tazama video hii hadi mwisho CEO Zubeda amewaonya mashabiki ambao sio wa Simba wanajipanga kuja kufanya vurugu ili kututia doa.