Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Usajili wa Kibu D haukuwa rahisi

26 Jun 2024

Ahmed amesema Uongozi ulifungua mazungumzo wakati timu ikiwa Zanzibar lakini hayakuweza kuletea muafaka na hata timu ilivyorejea Dar es Salaam bado haikuwa rahisi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kitu kilichokuwa kinachelewesha dili hilo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story