Mh. Rebecca amezungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Adam Malima ambapo amewataka wakazi wa mkoa huo kutumia fursa za kiuchumi zitakzopatikana kutokana na mashabiki wengi kujitokeza kwa wingi.
Tazama video hii hadi mwisho Mh. Rebecca amezungumzia pia kuhusu mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani.