Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ukifungua Akaunti Azania Bank unapewa tiketi ya fainali Bure

22 May 2025

Meneja wa Benki hiyo amesema kuanzia kesho kila shabiki atayefungua akaunti kwa Shilingi 5,000 atakabidhiwa tiketi kwa ajili ya kwenda kuutazama mchezo huo.

Tazama video hii hadi kujua faida watakazopata watakaofungua akaunti katika Benki ya Azania.

Advertisement
Back to homepage
Share this story