Ahmed amesema isingeleta picha nzuri kila siku tunatangaza kuhusu Ubaya Ubwela huku Makao Mkuu ya klabu kukiwa hakuna kitu kinachoonyesha jambo hilo ambalo ndio habari ya mjini kwa sasa.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia kuhusu suala la Kibu Denis na ujio kwa kipa mpya ndani ya kikosi chetu.