Ahmed amesema ushindi kwenye mchezo wa kesho hautatokana na Viongozi, benchi la ufundi wala wachezaji pekee bali ni wingi wa mashabiki uwanjani ambao utaongeza hamasa kwa nyota wetu itakayotuletea furaha.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia hali ya kikosi na kuweka wazi kuwa hakuna mchezaji majeruhi.