Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tutafanya Vizuri Zaidi Benjamin Mkapa

25 May 2024

Che Malone amesema hatuwadharau JKT lakini kitendo cha kucheza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa tuna nafasi ya kufanya vizuri.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Che Malone amezungumzia pia kuhusu msimu mzima ulivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story