Ahmed amesema mchezo huo hautakuwa na mashabiki kutokana na mechi za timu za Taifa kuwa zinachezwa katika kipindi hicho hivyo CAF imepiga marufuku klabu kucheza mechi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia tarehe ya timu kusafiri kuelekea Libya kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli.